Monday, October 26, 2015

Anonymous

Jimbo la MBEYA Mjini Rasmi: Joseph Mbilinyi wa CHADEMA/UKAWA Kashinda...Tazama Matokeo Hayo Hapa

Jimbo la Mbeya Mjini: Joseph Mbilinyi wa Chadema, ameibuka mshindi kwa jumla ya kura 97675, dhidi ya mpinzani wake wa karibu Mwalyego Shitambala wa CCM, aliyepata kura 46894

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.