Tuesday, October 20, 2015

Anonymous

Hofu ya Uchaguzi Mkuu?! Kampuni Kubwa ya VIGOGO Tanzania Yafungasha Virago!

Sasa ni wazi hali imeanza kuwa tete kwa wafanyabiashara washirika wa vigogo wa serikali na watoto wao... Kampuni ya Home Shopping Centre washaanza kufungasha virago na kukimbia kusikojulikana.

Ikumbukwe kampuni hiyo imekuwa ikihusishwa na moja wa mke wa kigogo hapa nchini, pamoja na mtoto wa kigogo hapa nchi. (Mama na Mtoto).... Home Shopping centre wamekuwa wakishutumiwa zaidi kwenye sakaka la ukwepaji kodi, ambapo kwa siku inakadiriwa walikuwa wanakwepa zaidi ya billioni 12 kwa bidhaa wanazoingiza nchini...

Kwa wale wadau wa Kariakoo watakuwa wanakumbuka sakata la hawa majamaa vizuri sana....
My take: Serikali ya Ukawa isinyamazie hili jambo. Lazima wawajibishwe kwa ukwepaji kodi hata kama wakisepa....
Source: Jamii Forums

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.