Dr. John Pombe MAGUFULI Awasha Moto Mkoani Geita (Nkome)...Atembelea Kaburi la Babu na Bibi Yake
Zikiwa zimebaki siku chache wa Tanzania wapige kura ya kumchagua Raisi wa awamu ya Tano. Jana Dr. John Pombe Magufuli alikuwa na mkutano mkoani Geita (Nkome).
Pia Dr. John Pombe Magufuli alitembelea kaburi la bibi yake na babu yake katika kijiji cha Katoma.
USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK
TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)
Note: Only a member of this blog may post a comment.