Friday, October 23, 2015

Anonymous

Hivi UKAWA Mnadhani mama Maria NYERERE Sio Mwanachama wa CCM?

Mdau mmoja kanitumia hii:
 Ukawa kwa nini mtegemee wanaccm wawaingize madarakani?

TANU iliwajibika na kupewa madaraka miaka 7 baada ya kuanzishwa .Sijapata historia inayosema TANU ilitumia rivals wake kuchukua madaraka.

Naamini hili ni somo dogo lisilohotaji PHD au gia za anga.

Mnaposhangaa mama Maria Nyerere kumkubali Magufuli mnanifanya niamini kuwa hamkujipanga!

Hebu jipangeni basi ndio mje kushindana na Heavy weight CCM.

YAANI UKONGWE WENU KWENYE SIASA KWA MIAKA 20 Mnaishia kuwategemea CCM wawaingize madarakani!!

SHAME SHAME SHAME!!

UKAWA TRY AGAIN IN 2020 BAADA YA KUJITAMBUA!

Unapojibu hoja hii jipange ukileta kwere nalianzisha mazima!
NB: Hayo ni mawazo yake sio mawazo ya KandiliYetu

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.