Hii ni orodha iliyotolewa ya vilabu/wachezaji ambao jezi zao
zinaongozwa kwa kuuza Ulaya. Imetolewa na mtandao wa Kitbag.com na
kuoredhesha majina ya wachezaji 10 ambao jezi zenye namba zao zinaongoza
kwa kuuza.
Mchezaji ambaye amewashangaza wengi ni winga mpya wa klabu ya
Manchester United anayevaa jezi namba 7, Memphis aliyeshika nafasi ya
tatu nyuma ya Lionel Messi na Cristiano Ronaldo huku akiwa ndio mchezaji
ambaye jezi zake zinauzika sana katika ligi kuu ya EPL kwa sasa.
Hii ndio Orodha kamili
1) Lionel Messi – Barcelona
2) Cristiano Ronaldo – Real Madrid
3) Memphis Depay – Manchester United
4 Bastian Schweinsteiger – Manchester United
5) Eden Hazard – Chelsea
Rooney – Manchester United
7) Neymar – Barcelona
8) Sergio Aguero – Manchester City
9) Alexis Sanchez – Arsenal
10) Philippe Coutinho – Liverpool
Note: Only a member of this blog may post a comment.