Wednesday, October 14, 2015

Anonymous

Hawa Ndio Mastaa Waliovunja Rekodi Kwa Kufanya Harusi za Kifahari Zaidi Duniani….

Siku ya harusi ni siku maalum zaidi kwa wahusika na kadri miaka inavyokwenda kila mmoja amekua akitamani sherehe yake kuwa na mwonekano wa kitofauti zaidi. 
Wengi wamekuwa wakibuni ni jinsi gani watafanya shughuli zao kuonekana za kitofauti na kupendeza zaidi.
Leo ninayo list ya mastaa waliovunja rekodi kwa kufanya harusi za kifahari zaidi duniani.

1. Prince Williams na Kate Middleton, walitumia kiasi cha dola bilioni 3.1

2. Petra Eccleston na James Stunt, walitumia kiasi cha dola bilioni 1.8

3. Kim Kardashian na Kris Humphries, walitumia kiasi cha dola 9.2

4. Michael Jordan na Yvette Prieto, walitumia kiasi cha dola milioni 9.2

5. Wyne na Coleen Rooney, walitumia kiasi cha dola milioni 7.6

6. Justin Timberlake na Jessica Biel, walitumia kiasi cha dola milioni 6

7. Chelsea Clinton na Marc Mezvinsky, walitumia kiasi cha dola milioni 4.4

8. Liza Minelli na David Gest, walitumia kiasi cha dola milioni 3.8
 
9. Tom Cruise na Katie Holmes, walitumia kiasi cha dola milioni 2.7

10. Christina Aguilera na Jordan Bratman, walitumia kiasi cha dola milioni 1.8

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.