Friday, October 16, 2015

Anonymous

Haruna Niyonzima wa YANGA SC Kafunga Ndoa Rwanda, Uthibitisho Kwenye PICHAZ Hizi Sita


Kiungo wa kimataifa wa Rwanda anayekipiga katika klabu ya Dar Es Salaam Young African Haruna Niyonzima October 15 amefunga ndoa na mzazi mwenzake. Haruna Niyonzima ambaye alifunga ndoa hiyo baada ya kurejea kutoka Rabat Morocco mji ambao walienda kucheza mechi na timu ya taifa ya nchi hiyo.
Haruna-Niyonzima-Yasezeranye-6
Niyonzima ni baba wa watoto wa tatu mmoja wa kiume na wawili ambao ni mapacha Atifa na Atika. Niyonzima na mkewe walifunga ndoa ya kiserikali Kigali Rwanda. Hata hivyo kufuatia kuchelewa kujiunga na kambi ya klabu yake ambayo Bagamoyo ya kujiandaa na mchezo wa kesho dhidi ya Azam FC, huenda Niyonzima akakosa mchezo huo.
Haruna-Niyonzima-yasezeranye-4
Niyonzima-Haruna-Yasezeranye-2
Harouna-Niyonzima-Yasezeranye
Harouna-Niyonzima-Yarongoye-5
Chanzo cha picha hizi ni: izubarirashe.rw

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.