Mama Mtoto wa Mbunge wa Mbeya Mjini Mh Sugu Faiza Ally Ameibuka kwenye
Mtandao wa Instagram na Kuandika Mazito Kuhusu Baba mtoto wake Sugu...
Soma Hapa Chini:
Unawezaje kuwa kiongozi bora kwenye jamii ya watu wengi wakati familia yako huwezi kuingoza ? Unaweje kuhudumia maelfu ya watu wkt watoto wako wawili tu hujui wanalala wapi ? wanakula nini wala wanaishije ? Jamani Jamani serekali yetu iyangalie viongozi wetu kwa kina kuanzia maisha yao binafsi! Elimu zao na back ground za maisha yao! Isiwe rahisi sana kumpa mtu uongozi ! Haiewezekani ushindwe kutunza mwanao uweze kutunza umma- sisemi kwa sababu yangu tu nasema kwa sababu ya wananchi wote! Wanawake tunaumia! Watoto wetu wanakua hawana maisha maalumu- hawana uhakika wa elimu - maana jamani kuwa single mama sio kesi rahisi- sasa ni bora kuumia wachache kuliko kwenda nakuumiza wananchi wengine! Hapa sizungumzii chama maana kwanza mimi sinaga chama lkn nazungumzia taifa ! Kiongozi ili uwe bora lzm kwanza uwe bora ulipotoka na kwa familia yako! Mtu anaweza kukomesha damu yake kwa kuisahau ni hatari kufanya lolote kwa yoyote- ongezeni uzito wa vigezo ktk kumpa mtu madaraka makubwa kumchunguza maisha yake....... nimesema kutoka moyoni na vitu vinavyo nihusu na naamini vinawahusu wengine wengi !!!!!! TAFAKARI
Baada ya Kusema Hayo Akaendelea Kusema Haya Pia Katika Post Hii ya pili..
UBUNGE WAKE HAUNISAIDII NA WALA HAUNIZIDISHII - AKIPATA SAWA AKIKOSA
SAWA! LKN KAMWE SITAACHA KUZUNGUMZA UHALISIA NA KATIKA KILE NINACHO
KIAMINI BILA UOGA - NA CHA UKWELI ! NYINYI MNAONGEA HOVYO ONGEENI TU !
LKN AMINI HUYO RAIS WENU ANANIJUA VIZURI NA HAYO NINAYOSEMA YANAUKWELI
ASILIMIA 100! MWENYEWE YANAMUINGIA SEMA NDIO HIVYO HUWEZI KUBADILISHA
UHALISIA WA MTU! LKN PAMOJA NA KUTOKUBADILISHA SI SABABU YA KUKAA KIMYA!
NA HILI SIO LA MWISHO NATAENDELEA KUZUNGUMZA PALE NINAPO JISIKIA HASA
PENYE UKWELI ! ..... NA HUO NDIO UKWELI ILI UWE KIONGOZI BORA LZM KWANZA
UWE BORA KWAKO! KIONGOZI YUPI BORA HALAFU HALIPI ADA YA MWANAE YA SHULE
?????? HUO UBORA UKO WAPI ? KUSIMAMA KWENYE JUKWAA NA KUJINADI ? YES
ANAWEZA KUWA HATA WAZIRI NINI MBUNGE ? LKN BADO AKAWA SIO KIONGOZI BORA ?
NA NDIO MAANA HATUNA VIONGOZI BORA KWA SABABU WANAO ONGOZA SIO BORA
!!!!!! TUTAKUAJE NA MAISHA BORA ? SASA SWALA LA KUSHINDA HALIINGILIANI
!!!!!!!!!! 1h
Read more at http://websta.me/n/faiza_ally#ogMQvOJ23QkcZRti.99
Soma Hapa Chini:
Unawezaje kuwa kiongozi bora kwenye jamii ya watu wengi wakati familia yako huwezi kuingoza ? Unaweje kuhudumia maelfu ya watu wkt watoto wako wawili tu hujui wanalala wapi ? wanakula nini wala wanaishije ? Jamani Jamani serekali yetu iyangalie viongozi wetu kwa kina kuanzia maisha yao binafsi! Elimu zao na back ground za maisha yao! Isiwe rahisi sana kumpa mtu uongozi ! Haiewezekani ushindwe kutunza mwanao uweze kutunza umma- sisemi kwa sababu yangu tu nasema kwa sababu ya wananchi wote! Wanawake tunaumia! Watoto wetu wanakua hawana maisha maalumu- hawana uhakika wa elimu - maana jamani kuwa single mama sio kesi rahisi- sasa ni bora kuumia wachache kuliko kwenda nakuumiza wananchi wengine! Hapa sizungumzii chama maana kwanza mimi sinaga chama lkn nazungumzia taifa ! Kiongozi ili uwe bora lzm kwanza uwe bora ulipotoka na kwa familia yako! Mtu anaweza kukomesha damu yake kwa kuisahau ni hatari kufanya lolote kwa yoyote- ongezeni uzito wa vigezo ktk kumpa mtu madaraka makubwa kumchunguza maisha yake....... nimesema kutoka moyoni na vitu vinavyo nihusu na naamini vinawahusu wengine wengi !!!!!! TAFAKARI
Baada ya Kusema Hayo Akaendelea Kusema Haya Pia Katika Post Hii ya pili..
Read more at http://websta.me/n/faiza_ally#ogMQvOJ23QkcZRti.99
Note: Only a member of this blog may post a comment.