Saturday, October 3, 2015

Anonymous

DK MAGUFULI Lugha za Kimataifa ni Kizungumkuti Kwake, Wenye Ufahamu Tujadiliane Hapa [VIDEO]


Nimejaribu kufuatilia uwezo na uelewa na mwenzetu huyu katika arena za kimataifa ni zero na uwenda akafanya vituko kama vya ndugu Mulugo aliyekuwa naibu waziri wa elimu kuwa Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zimbabwe.

Hiyo ilitokana na kushindwa ngeli na kubaki kukariri tu.Upungufu huu wa exposure kimataifa na lugha ni tatizo na ndio maana watu wasio na uwezo kama akina Makamba wanajitia kimbelembele kama wapiga zomari kwa Magufuli huku wakinyendea nafasi kama washuri wake akibahatika kuwa rais kama shetani atabariki.Mungu yupo upande wa Legwanani the Great.

Hivi kama alikuwa mwalimu alifundishaje huko? Natafuta wanafunzi wake angalau nipate expreience ya huyu ndugu yetu Magufuli
Angalia Video Hapa Chini:
"I am a politicians". "I dont want to take this time as saying so many political...."
"Simple and clear is only congregations to you.."

Kwa kuwa alisoma katika mfumo wa lugha ya kiingereza na Katiba ya nchi inahitaji awe na kiwango sahihi cha elimu, huyu Mgombea Urais anayo hiyo elimu?

Kwa harufu ya degree za magumashi, ni dhahri alipishana na wahadhari mlangoni. Kwa mtindo huu bado ana sifa ya kugombea hata ubunge?

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.