Marehemu Deo Filikunjombe aliyevaa miwani katikati
Zitto Kabwe ameandika hivi kuthibitisha kifo cha Deo Filikunjombe:
Zitto Z Kabwe 26 mins · Twitter ·
Ndugu yetu, rafiki yetu na mzalendo mwenzetu @DeoFilikunjombe ametutoka kufuatia ajali ya helkopta. Nawasihi tuwe na utulivu wakati huu mgumu.
Endelea kufuatilia hapa hapa kandiliyetu.com kwa taarifa zaidi kuhusu ajali hiyo na idadi kamili ya waliopoteza maisha!

Note: Only a member of this blog may post a comment.