Kupitia akaunti yake ya Facebook Mh. Lowassa kaandika hivi kuhusu Kingunge kung'atuka CCM;
''Namshukuru sana Mzee Kingunge Ngombale Mwiru kwa uamuzi yake wa busara na kijasiri wa kuunga mkono mabadiliko. Kama muasisi wa CCM na mkongwe wa siasa hapa nchini, ameonyesha kwamba mabadiliko nje ya CCM yanawezekana.''
Pia kupitia akaunti yake ya twitter Lowassa kaandika tena hivi;-
Pia kupitia akaunti yake ya twitter Lowassa kaandika tena hivi;-
Edward Lowassa @edwardlowassatz 11h11 hours ago
Kama muasisi wa CCM na mkongwe wa siasa hapa nchini, ameonyesha kwamba mabadiliko nje ya CCM yanawezekana. 2/2
43 retweets 35 favorites
Kama muasisi wa CCM na mkongwe wa siasa hapa nchini, ameonyesha kwamba mabadiliko nje ya CCM yanawezekana. 2/2
43 retweets 35 favorites

Note: Only a member of this blog may post a comment.