Friday, October 2, 2015

Anonymous

AJALI: Ndege ya Kivita ya JWTZ Yaanguka Baharini, Wanajeshi Wawili Wahofiwa Kufa

Muda mfupi uliopita ndege yetu ya kivita imeanguka baharini na kusababisha vifo vya watu wawili. Lt. Col Ndongolo na Capt. Hamis waliokuwa kwenye ndege hiyo.
Ndongolo alikuwa mkufunzi na Hamis alikuwa rubani mwanafunzi.
Walikuwa eneo la Msasani, Dar; zimepatikana parachutes na helmet za vichwani mwao ila Makamanda wetu hawajapatikana. Na ndege pia imepatikana
JWTZ imethibitisha leo kuwa ndege ya mafunzo ya kijeshi imeanguka mwambao wa Kunduchi, Dar ikiwa na marubani 2. Marubani hao bado hawajapatikana.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.