Wakati headlines za Uchaguzi sasa
zikuchukua nafasi kuanzia kwenye Magazeti, TV, Radio na sehemu nyingine
za kutolea habari sio mbaya ukifahamu pia kuhusiana na Rais ambaye
anatajwa kuwa na umri mdogo zaidi Duniani.
Rais wa Poland anaitwa Andrzej Duda ndio Rais ambaye anatajwa kuwa mwenye umri mdogo kuliko ma rais wote duniani, Rais huyo ana umri wa miaka 43 na kwa ma Rais wote Duniani waliochaguliwa katika chaguzi za kidemokrasia wanasema hakuna Rais ambaye anaa umri kama huo au chini ya huo.

Rais huyo aliingia madaraka mwezi mei, 2015 akiwa ameshinda kwa zaidi
ya 52% ya kura zote zilizopigwa, Duda alitimiza umri wa miaka 43 mwezi
mei tarehe 16 mwaka huu.

Note: Only a member of this blog may post a comment.