VIDEO: Jeshi la Polisi Lawaita Viongozi wa Vyama Vya Siasa na Dini Kufuatia Vurugu za Kisiasa Kutokea
Jeshi la Polisi Mkoani Mara limewaita viongozi wa vyama vya siasa pamoja na dini na kuwapa elimu kufuatia vurugu za kisiasa Mkoani humo.
Nimekuwekea taarifa ya habari hiyo katika video hii hapa
USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK
TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)
Note: Only a member of this blog may post a comment.