Monday, September 14, 2015

Anonymous

Unaposema LOWASSA Mwizi, mwana-CCM Gani Msafi Ndani ya CCM?

Ametuibia sisi na tumempenda sisi shida iko wapi? Kila siku Lowasa mwizi, Lowasa mwizi nani msafi CCM? Acheni kuhadaa watu: Je, Mkapa msafi? Kikwete msafi? Na hao mawaziri kila siku skendo na bado tu mnawakumbatia bila kuchukuliwa hatua stahiki nao ni wasafi?! Kuna kitu mnakijua kuhusu Lowasa sio bure, sasa sisi tunamtaka Lowasa tuone kwa nini mnamuogopa mtu ambaye kwenu alionekana makapi!
MWAKA HUU RAIS WANGU FISADI HATA MSEME NINI SIMUACHI LOWASSA!
-By mdau JF

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.