Ray Atupa 'Kijembe' kwa Wana-Mabadiliko
Leo nimekutana na vitu vya ajabu sana kwa hawa wana
mabadiliko, kuna mmoja nilimuuliza why unataka mabadilko , akanijibu
hivi eti nimekatwa mshahara kwa hiyo naichukia CCM nataka mabadiliko
tena kakatwa mshahara kwa uzembe wake tu anailaumu serikali wa pili
nikamuuliza naye why unataka mabadiliko, akanjibu ahaaa mimi sipati
milo mitatu naichukia CCM wakati huo nimeenda kwake ilikuwa ni saa saba
mchana bado yuko kitandani nilicheka sana na wengi wao ndio wako hivi
wafuata mkumbo ndio maaana mnaambiwa Hapa Kazi Tu!
Vincent Kigosi ‘Ray’ @raythegreatest on instagram
USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK
TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)
Note: Only a member of this blog may post a comment.