LIGI Kuu Tanzania Bara mceho wa watani wa jadi, Simba na Yanga umekwisha, Yanga wakiibuka na ushindi mnono wa bao 2-0.
Bao la kwanza la Yanga liliwekwa kimyani na shambuliaji Amissi Tambwe dakika ya 44.
Malimi Busungu nae akamipa bao la pili
na la kuongoza kwa timu yake hiyo dakika ya 79 akimalizia mpira wa
kurushwa wa Mbuyu Twite.
Dakika 90 zimemalizika, Yanga akiondoka na pointi tatu mhimu na kuendelea kujikita kileneni mwa Ligi Kuu Tanzania Bara.
PICHA NA MUSSA MATEJA/GPL
Note: Only a member of this blog may post a comment.