Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha
Mapinduzi (CCM), Dkt. Jonh Pombe Magufuli, leo amewahutubia wananchi wa
jimbo la Bumbuli, wilayani Lushoto, mkoani Tanga wakati akinadi sera
zake. Huu ni mwendelezo wa kampeni zake za kusaka kura kwa wananchi ili
awe urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika uchaguzi Mkuu
utakaofanyika Oktoba 25.

Note: Only a member of this blog may post a comment.