Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Monday, September 14, 2015
Anonymous
PICHA ya LOWASSA Mgombea Urais wa UKAWA Yazua Gumzo Mtandaoni!
Picha ya Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Mh. Lowassa inadaiwa kuwa alikua akisaidiwa kupanda jukwaani Manyoni Singida kwenye kampeni zake za Urais, Huko Mitandaoni Kila Mmoja Ameongea lake..Je wewe Unasema Kuhusu Hii Picha ?
Note: Only a member of this blog may post a comment.