Friday, September 11, 2015

Anonymous

Picha 6 za Mafuriko ya LOWASSA Huko Kibaigwa Mkoani Dodoma



Tangu tarehe 29 August ulipofanyika uzinduzi wa kampeni za Ukawa,Lowassa ameendelea kuwa gumzo sehemu mbali mbali anapofanya mikutano ya kampeni zake.
Jana Sept 10,Lowassa alikuwa Mkoani Dodoma katika wilaya ya Kongwa mji mdogo Kibaigwa katika uwanja wa Amani




USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.