Kama kawaida ya Soudy Brown amekuwa akituletea tetesi za mastaa mbalimbali zinazohusiana na matukio mbalimbali wanayokutana nayo..leo ni Nuh Mziwanda..Kuna dada kampigia simu akilalamika Nuh kumdhalilisha mdogo wake kwa kumuacha guest bila kulipia.
Amesema baada ya kumaliza Birthday yake Nuh alikwenda na mdogo wake
katika moja ya nyumba za kulala wageni maeneo ya Sinza mida ya saa 8
mchana na alimuaga anarudi lakini hakurudi na pesa alikua bado
hajalipia.
Amesema hakupenda kuweka wazi lakini kwani imebidi asema kwa kuwa mdogo wake bado ni mdogo na hakuwa na pesa za kulipa.
Mwenyewe amesema alikwenda nyumbani kwao na kumtafuta kisha wakaenda kulewa na baadaye kumpekea kwenye nyumba za kulala wageni.
Msikilize hapa akielezea kwa Soudy Brown…
Note: Only a member of this blog may post a comment.