MTOTO MZURI YVONNE NELSON AHAMISHIA MAPENZI YAKE KWA MUNGU
Mwigizaji Yvonne Nelson wa Ghana.
MWIGIZAJI Yvonne Nelson wa Ghana ambaye aliwahi kuwa
na uhusiano wa kimapenzi na mwimbaji Iyanya wa Nigeria, na baadaye
uhusiano wao huo ukavunjika na kumwacha na kile alichokisema majonzi
makubwa, amesema amempata mpenzi wake mpya ambaye ni Mungu.
Mwigizaji
huyo mrembo alisema majuzi: “Mapenzi yangu ya siku nyingi yako kwa
Mungu, ambaye amekuwa upande wangu katika furaha na matatizo.
Q
USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK
TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)
Filed Under:
CELEBRITIES
on Wednesday, September 2, 2015
Note: Only a member of this blog may post a comment.