Wednesday, September 9, 2015

Anonymous

Kampeni za UKAWA/LOWASSA Zimekwamia Wapi? Je, Minongono Kuwa LOWASSA Mgonjwa ni Kweli?


Ni siku ya pili Leo naona kimya bila Maelezo toka kwa wahusika ni nini kimetokea. Jana walihairisha morogoro bila kutoa sababu na Leo mpaka dakika hivi huku morogoro naona kimya. Wahusika Makene mtujuze tumeshavaa sare teyari tangu juzi.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.