Thursday, September 24, 2015

Anonymous

Joto la Uchaguzi Lasababisha JB Achukue Uamuzi Huu...

Muongozaji na muigizaji wa filamu hapa Bongo , Jacob Stephen ‘JB’ amewaomba wadau  wa tasnia  ya filamu kuwa filamu yake mpya ya Chungu cha Tatu iliyomshirikisha mwigizaji Wema Sepetu  aitoebaada ya uchaguzi utakaofanyika mwezi ujao jakokuwa kwa sasa ipo tayari hii ni kutokana na upepowa uchaguzi kuvuma kwa kasi na kugawa mashabiki. 
Kupitia ukurasa wake mtandaoni, JB alifunguka hivi
Wadau filam yenu ua Chungu Cha Tatu ipo tayari, lakini kwa sababu joto la uchaguzi liko juu nilikuwa naomba kwa ruksa yenu niitoe baada ya uchaguzi...au mnasemaje?

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.