Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa
mji mdogo wa Katoro mkoani Geita mapema jana mchana kwenye viwanja vya
mnada wa Ng'ombe,kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni,ambapo maelfu ya
Wananchi wamehudhuria.
Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwanadi Wagombea Ubunge
wa jimbo la Bukombe na Chato mapema mchana huu alipokuwa akiwahutubia
wananchi wa mji mdogo wa Katoro mkoani Geita, kwenye viwanja vya mnada
wa Ng'ombe,katika mkutano wa hadhara wa kampeni,ambapo maelfu ya
Wananchi wamehudhuria.
Note: Only a member of this blog may post a comment.