Baba wa kambo wa Kim Kardashian, Caitlyn Jenner aliyejibadili kuwa
mwanamke ametajwa kushindania tuzo ya bibi/babu bora wa mwaka 2015.
Akizungumzia sababu za kuanzisha tuzo hiyo, Meneja masoko wa mgahawa huo, Jo Watling alisema kuwa lengo la kuanzisha tuzo hiyo ni kuhakikisha wanatambua mchango wa wazee katika ngazi za familia.
Malkia Elizabeth na Caitlyn wameingia fainali za mashindano ya tuzo hizo kwa kupigiwa kura nyin

Note: Only a member of this blog may post a comment.