Nape
Kama uchuguzi ungefanyika leo au mwezi huu katika jimbo la mtama, basi CCM inayowakilishwa NAPE NAUYE haiwezi kuambulia hata asilimia 20 (20%).
Licha ya ushindani mkali unaotolewa na UKAWA Kupitia kwa mgombea wao SELEMANI, Ambaye anaonekana kukubalika zaidi, kingine kikubwa kinachoonekana hapa ni mwamko mkubwa sana wa Wananchi kuamua kuikataa CCM ambayo imekuwa ikiongoza jimbo hili toka uhuru na bado maisha yao yamebaki duni kupita kiasi.
Mikutano ya Nape(CCM), sio tu imekuwa ikihudhuriwa na watu wachache bali pia wanaohudhuria kwa asilimia kubwa kama sio zote ni baadhi ya wanachama wa CCM wanaoendelea kuwa watiifu kwa Chama hiki.
Kwa kifupi tutarajie mabadiliko Jimbo la Mtama mwaka huu!
By Anophelesi/JF

Note: Only a member of this blog may post a comment.