Sunday, September 20, 2015

Anonymous

10 PICHAZ: Shuhudia Mafuriko ya LOWASSA Bukoba Mjini na Misenyi, Kagera!

Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA leo mapema alikuwa na mkutano wa kuinadi ilani ya CHADEMA wilaya ya Misenyi ambako kuna jimbo la Nkenge.
"Zilikuwa ni busara za Nyerere lakini serikali haikukubali vyama vingi kwa dhati wanaona kama walijikwaa" Sumaye Misenyi BK "Kinana kuisema serikali yake inao mawaziri mizigo pale anamaanisha chagueni upinzani" Sumaye - Misenyi Bukoba"Waliopo ndani ya CCM wenyewe wamechoka, Kinana mwenyewe alisema serikali ina mawaziri mizigo wakati wamewaweka wenyewe" Sumaye - Misenyi BK
"CCM lazima iondoke kwa sababu haijatekeleza yale iliyoahidi,chama kinachokaa madarakani muda mrefu kinajenga kiburi" Sumaye -Misenyi Bukoba Huduma za afya ni muhimu sana, huwezi kuongelea kujenga uchumi wakati wananchi wako hawapati huduma nzuri za afya - Sumaye Misenyi Bukoba
1995 alichaguliwa Sumaye waziri mkuu,2005 akachaguliwa Edward Lowassa kama Magufuli anafaa kwanini hakuchaguliwa? - Tambwe Misenyi Bukoba.
  

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.