Monday, August 17, 2015

Anonymous

VIGOGO WALIOHAMA CCM WAANIKA SABABU YA UKITOSA CHAMA HICHO KIKONGWE NCHINI!


Wananchama na viongozi wa CCM waliohamia chama Chadema akiwemo aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani Bw Laurence Masha wamesema uamuzi wa kukihama chama mapinduzi hautokani na tamaa ya madaraka kama inavyodaiwa bali wanajiepusha na matatizo yasiyo ya lazima likiwemo la ukiukwaji wa haki unaoendelea kujikita ndani ya chama hicho.

Wakizungumza na maelfu ya wananchi wa mkoa wa Mwanza walijitokeza kumpokea mgombea urasi wa umoja wa UKAWA kupitia chama Chadema Mh.Edward Lowasa viongozi hao wamewataka watanzania kujiepusha na matatizo yasiyo ya lazima likiwemo la kuendeleza siasa za chuki.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.