Monday, August 17, 2015

Anonymous

MPENZI WA LOWASSA "DK EMMANUEL NCHIMBI" KIROHO SAFI NA RAIS JK NA DK. MAGUFULI -PICHAZ


Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiteta jambo na Dk. Emmanuel Nchimbi.Dk.Emmanuel Nchimbi akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete. Dk. Emmanuel Nchimbi akizungumza na wajumbe wa Baraza la Vijana wa CCM

Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia kwenye Baraza la Vijana wa CCM.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.