Wednesday, August 19, 2015

Anonymous

VIDEO+PICHAZ: Shuhudia Walichokifanya MANCHESTER UNITED....Ni Salamu Tosha ULAYA!

Ikiwa zimepita siku kadhaa tu toka Ligi Kuu mbalimbali barani Ulaya zianze August 18 imepigwa michezo kadhaa ya kutafuta nafasi ya kufuzu kucheza katika hatua ya makundi ya Kombe la klabu bingwa barani Ulaya, michezo iliochezwa ni pamoja na mchezo ambao umewakutanisha Manchester United dhidi ya Club Brugge ya Ubelgiji. 

Mechi hiyo iliyochezwa katika uwanja wa nyumbani wa klabu ya Club Brugge nchini Ubelgiji katika uwanja wa Jan Breydel wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 29,472, mchezo umemalizika kwa klabu ya Manchester United kuibuka na ushindi wa jumla ya goli 3-1 magoli ya Man United yakifungwa na Mephis Depay dakika ya 13 na 43 kipindi cha kwanza kabla ya goli la tatu kufungwa na Marouane Fellaini dakika ya 90 ya mchezo goli la kufutia machozi kwa klabu ya Club Brugge lilifungwa dakika ya 8 kwa  Michael Carrick kujifunga.
JS70280545
3000 (2)
club-brugge-victor-vazquez
MANCHESTER, ENGLAND - AUGUST 18:  Memphis Depay of Manchester United scores his team's opening goal during the UEFA Champions League Qualifying Round Play Off First Leg match between Manchester United and Club Brugge at Old Trafford on August 18, 2015 in Manchester, England.  (Photo by Alex Livesey/Getty Images)
3000
1184
3000 (1)
3588
Hii ni video ya magoli mtu wangu

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.