Thursday, August 6, 2015

Anonymous

Picha za mwanzo kutoka Mliman City,Wasanii wameungana kumuaga Rais J Kikwete na kumkaribisha Magufuli.

Mtu wangu nakusogezea picha za mwanzo kabisa kinachoendelea kwa sasa kwenye ukumbi wa Mliman City Dar es salaam ambapo Muungano wa Wasanii wa Tanzania wameandaa party kwa ajili ya kumuaga Rais Jakaya Kikwete na kumpongeza pamoja na kumkaribisha Mheshimiwa John Magufuli.

Muonekano wa jukwaa kwa mbele
Hapa ni kuanzia nje mpaka ndani kwenye picha za mwanzo kabisa yaani.

Muonekano wa ndani kwenye meza kadhaa..

Hapa kwa ni kwa Nje ambapo unakaguliwa kwanza kabla ya kuingia.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.