Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Kazi yoyote unayoifanya kama utaipenda na kuweka moyo
wako hapo..kisha ukaweka bidii na kujituma una asilimia kubwa ya
kufanikiwa...maisha ya misheni town kwa miaka hii inayo kuja yanaweza
kukuweka pabaya...Mungu akubariki...hili ndilo neno la leo toka kwa
mtumishi wa bwana...jb....
Note: Only a member of this blog may post a comment.