Monday, August 10, 2015

Anonymous

Mtoto Mzuri BATULI Aeleza Sababu za Kutoolewa

BATULI2.jpg
Yobnes Yusuph ‘Batuli’.
Brighton Masalu
STAA wa filamu Bongo, Yobnes Yusuph ‘Batuli’, ameeleza sababu zinazochangia yeye kutoolewa kuwa ni umaarufu wake.
Akizungumza na mwandishi wetu pande za Mlimani City jijini, alisema kuwa wanaume wamekuwa wakiwahofia kwa sababu wao ni mastaa kama wengi wanavyoamini ukimuoa staa umeumia.“Natamani sana kuolewa ila wanaume ndiyo tatizo, wanatuhofia sisi mastaa, nawaambia wasiwe na hofu na mimi kwani nimetokea kwenye familia bora ambayo imenilea vyema,” alisema Batuli.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.