
Lipumba anasema UKAWA ilianzishwa kwa lengo la kusimamia rasimu ya katiba mpya kutokana na maoni ya wananchi sasa wenzetu wamegeuza UKAWA kwa kuleta mtu ambaye alishiriki kupitisha katiba pendekezwa ambayo siyo maoni ya wananchi hivyo kiongozi atakayeshinda kupitia UKAWA hawezi kusimania maoni ya wananchi ya rasinu iliyopendekezwa na Warioba.
TAARIFA ZAIDI TUTAWALETEA!
UPDATES
Tayari tumeipata taarifa kamili na picha za tukio hilo===>>BONYEZA HAPA!
UPDATES
Tayari tumeipata taarifa kamili na picha za tukio hilo===>>BONYEZA HAPA!

Note: Only a member of this blog may post a comment.