Hakika tunajifunza mengi hasa katka kipindi hiki ambacho Taifa linahitaji mabadiliko ya Kweli. Binafsi nashangazwa na namna udhaifu binafsi unavyodhihirika na kuwa ajenda ya kutaka kukwamisha harakati za mabadiliko hasa kwa watu walioaminika siku za nyuma.
Kumbukeni taifa linahitaji uzalendo na fikra chanya. Katika chaguzi zilizopita mlipigiwa kura hazikutosha kuingia Magogoni. Inashangaza ubinafsi na matamanio ya vyeo yanapora kufikiri chanya na kuamua kuasi harakati madhubuti.
Mmeliacha jahazi likiwa imara huku watanzania nao wakiwa imara. Msimamo wa CUF na CHADEMA ndio dira sawia kwa sasa. Huu upepo utavuma na kupita ila wapenda mabadiliko hawatawakumbuka kwa lolote lile.
Ni vigumu kumfurahisha kila mmoja wetu ktk masuala ya ukombozi wa taifa.
Mtasahaulika kwa sekunde tu zijazo...
Kama una maoni tafadhali usisite kuyatoa hapo chini, ukimya hausaidii!
-JF

Note: Only a member of this blog may post a comment.