WEMA SEPETU AKIFANYA KUFURU KWA MAGUFULI JANA USIKU KWA KUMMWAGIA DOLLA KUMTUNZA BAADA YA KUKUNWA NA USTADI WA KUPIGA NGOMA WA MGOMBEA HUYO WA URAIS KUPITIA CCM!
Je, ni maandalizi ya kujitengenezea njia ya ubunge wa kuteuliwa ikiwa Magufuli atashinda urais au niaje?! Toa maoni yako hapo chini!
Je, ni maandalizi ya kujitengenezea njia ya ubunge wa kuteuliwa ikiwa Magufuli atashinda urais au niaje?! Toa maoni yako hapo chini!

Note: Only a member of this blog may post a comment.