Gabriel Ng’osha
MPENZI msomaji wa safu
hii ya Dukuduku, leo ninaye msanii wa muziki wa Bongo Fleva nchini,
Esterlina Sanga ‘Linah’ akisikitika na kuumia hasa pale anapotolewa au
kusikia mtu akitoa matusi, iwe kwenye mitandao ya kijamii au ana kwa
ana.
“Huwa naumia sana napotukanwa mimi au
mtu mwingine, iwe kwenye mitandao ya kijamii, simu, au ana kwa ana,
sipendi matusi, nawashauri wenye tabia hii wabadilike, mseme mtu lakini
usimtukane,” alisema Linah.
Note: Only a member of this blog may post a comment.