Monday, August 10, 2015

Anonymous

JEURI YA FEDHA! Kumbe Floyd Mayweather hana habari na pesa za benki?

weza
Utajiri wa staa wa ngumi duniani Floyd Mayweather bado umeendelea kuwa gumzo duniani.
Ukiachilia utajiri wa fedha nyingi alizonazo benki, Mayweather amekua akitunza kiasi kikubwa cha fedha nyumbani kwake ili ziweze kumsaidia katika mahitaji mbalimbalimbali na pengine hajui ni kiasi gani alichonacho ndani.
Kwenye ukurasa wake wa @Instagram nyota huyo wa ngumi duniani aliweka picha akikusanya fedha zake na kuziweka kwenye beki tayari kwa safari yake kama inavyoonekana hapo chini.
A photo posted by Floyd Mayweather (@floydmayweather) on

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.