Bondia wa kimataifa Floyd Mayweather haishiwi Headlines, mara nyingi Stori zake nyingi zinahusiana na utajiri alionao.
Niliwahi kuandika Stori kuhusu Floyd Mayweather kutojua kiasi cha
pesa zake zilizopo benki kutokana na kuwa na kiasi kikubwa cha fedha
nyumbani kwake.
Hii nyingine ya leo ni kuhusiana na gari la kifahari alilonunua
bondia huyo aina ya Koenigsegg CCXR Trevita lenye thamani ya dola
milioni 4.8.
Aina hii ya gari yapo mawili tu duniani kote mpaka sasa.
Hivi ndivyo alivyoandika kwenye ukurasa wake wa @Instagram

Note: Only a member of this blog may post a comment.