Je, Unahisi Hii Zawadi Iliyopendwa Sana Mtandaoni WEMA Kaletewa na Nani?
Tuingie kona ya umbea kidogo! Kupitia ukurasa wake wa Instagram mrembo Wema Sepetu amepost picha ikionesha zawadi alizoletewa na kumshukuru muhusika pasipo kumtaja ni nani!
Je, unahisi ni nani kamletea hiyo zawadi? Tupia comment yako hapo chini!
USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK
TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)
Note: Only a member of this blog may post a comment.