Friday, August 7, 2015

Anonymous

JACKLINE WOLPER Kaweka Hii Picha ya DIAMOND na ALI KIBA Waliyopigwa Jana na Kuandika Ujumbe Mzito!

Jackline Wolper ni mwigizaji kutoka bongo movie ambaye August 6 2015 alipost picha ya Ali Kiba na Diamond wakionekana pamoja kwenye foleni ya chakula kwenye party iliyofanyika ya kumuaga Rais Kikwete Mlimani City Dar es salaam. Wasanii
Baada ya kuiweka hiyo picha hapo juu aliandika >>> ‘ Sasa nyie endeleeni kugombanisha watu wanaojuana namsiojua walipotoka haya sasa mwanzo ndo ule kati mlizusha mwisho mnapajua???? waacheni jamani…. Mungu atapanga mwenyewe watag namuonge chochote chenye kujenga syo kubomoa # one love ‘
wasanii 2

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.