Jana Mamlaka ya mawasialiano TCRA
iliandaa mafunzo kwa ajili ya wasanii kuhusu kufanyiwa utapeli kwenye
mitandao mbalimbali ya kijamii, wasanii wachache tu ndio walioweza
kuhudhuria.
Loe kuna stori imemfikia Soudy Brown inamhusu Mtayarishaji aliyetapeliwa na mtu aliyedai ni Mr Blue ambaye walikubaliana akafanye shoo kwenye Visiwa vya Nansio, Ukerewe.
Anasema walitafuta namba za Mr Blue kupitia kwa mshkaji wake na kusema amepewa na Young Dee,
walivyompigia muhusika akasema yeye ni Mr. Bluu, wakazungumza kuhusu
shoo kufanyika Nansio huku wakikubaliana kisha kumtumia nauli 150,000,
lakini baadaye kumbe hakua muhusika.
Walimpigia Mr. Blue na kukana kumjua aliyetumiwa hela.
Msikilize Promota aliyetapeliwa akisimulia kwa Soudy Brown…

Note: Only a member of this blog may post a comment.