Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Monday, August 10, 2015
Anonymous
BREAKING NEWS: Ofisi ya Makamu wa Rais Yafunguka Kuhusu Gharib Bilal Kuongea na Waandishi wa Habari Leo
Makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal.
OFISI ya Makamu wa Rais imekanusha taarifa za kwenye mitandao ya
kijamii kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal
ataongea na vyombo vya habari kuhusu msimamo wake ndani ya serikali na
Chama Cha Mapinduzi.
Note: Only a member of this blog may post a comment.