Thursday, August 6, 2015

Anonymous

ATAIWEZA?! Mchezaji Huyu Mpya wa MANCHESTER UNITED Aomba Kuvaa Jezi Namba 7 Iliyomshinda Di MARIA!

Mchezaji mpya wa Manchester United, Memphis Depay ameamua kuchukua maamuzi magumu ya kuvaa viatu vizito kwa kuomba kuvaa jezi namba 7 katika msimu huu wa ligi kuu ya Uingereza unaoanza Jumamosi hii.
memphis
Hiyo ni jezi ya heshima kwa Old Trafford ambapo iliwahi kuvaliwa na masupastaa waliochezea klabu hiyo wakiwemo George Best, Bryan Robson, Eric Cantona, David Beckham, Cristiano Ronaldo na Angel di Maria.
Di Maria
Hata hivyo kocha wa United, Louis van Gaal bado hajatoa namba katika kikosi chake.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.