21 PICHAZ: Shuhudia LOWASSA Alivyoingia Mitaani Jijini Dar Leo na Kujichanganya na Wananchi!
Mgombea
Urais 2015 Tanzania kupitia headlines za UKAWA Edward Lowassa leo
August 24 2015 aliamua kuwashtukiza Watanzania kwa kwenda kuwatembelea
moja kwa moja mtaani kuwasikiliza matatizo yao na kupanda nao daladala
kama inavyoonekana kwenye hizi picha.
USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK
TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)
Note: Only a member of this blog may post a comment.