Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM
Dkt John Pombe Magufuli na Mgombea Mwenza Mhe Samia Suluhu Hassan
wakionesha mkoba wenye fomu za Kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania kupitia chama hicho mbele ya wananchi wanachama wao nje ya
ofisi ndogo ya CCM Mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam baada ya kutoka
Tume ya Uchaguzi kuchukua Fomu za kugombea Urais leo agosti 4, 2015.
Mhe Samia Suluhu Hassan
akiwashukuru Wananchi na Wanachama wa CCM waliojitokeza kwa wingi nje ya
ofisi ndogo ya CCM Mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam baada ya kutoka
Tume ya Uchaguzi kuchukua Fomu za kugombea Urais leo agosti 4, 2015.
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM
Dkt John Pombe Magufuli na Mgombea Mwenza Mhe Samia Suluhu Hassan
nwakilakiwa na Mwenyekiti wa CCM Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi
wengine akipokewa katika ofisi ndogo ya CCM Mtaa wa Lumumba jijini Dar
es salaam baada ya kutoka Tume ya Uchaguzi kuchukua Fomu za kugombea
Urais leo agosti 4, 2015.
Picha ya pamoja
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu
Abdulrahaman Kinana akiwashukuru Wananchi na wafuasi wa chama cha CCM
walioshiriki shughuli nzima ya kumsindikiza Dkt John Pombe Magufuli ya
kuchukua fomu ya kuwania kiti cha Uraisi kupitia chama hicho katika
ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dar leo.
Mwenyekiti wa CCM Dkt Jakaya
Mrisho Kikwete akiwashukuru wananchi na Wanachama wa chama hicho
walioshiriki shughuli nzima ya kumsindikiza Dkt John Pombe Magufuli ya
kuchukua fomu ya kuwania kiti cha Uraisi kupitia chama hicho katika
ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dar leo.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana akiwa sambamba na Katibu wa Itikadi na Uenezi Taifa Nape Nnauye,Mwenyekiti wa CCM Mkoa Dar es Salaam,Ndugu Ramadhan Madabiba pamoja na pichani shoto Ndugu Januari Makamba aliyeshinda kura za maoni CCM jimbo la Bumbuli kwa pamoja wakimsindikiza Dkt Jonh Pombe Magufuli kuchukua fomu za kuwania Uraisi mapema leo jijini Dar.
Wafuasi wa chama cha Mapinduzi
wakiwa wamekusanyika nje ya Ofisi Ndogo ya Makao ya CCM mtaa Lumbumba
wakishangwekwa wakati Mgombea Mteule wa Urais kupitia chama cha CCM Dkt
John Pombe Magufuli aliyekuwa akienda kuchukua Fomu ya kuwania Urais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika ofisi za Tume ya Taifa ya
Uchaguzi (NEC),jijini Dar leo
Wafuasi wa chama cha Mapinduzi
wakiwa wamekusanyika nje ya Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM mtaa
Lumumba wakishangwekwa wakati Mgombea Mteule wa Urais kupitia chama cha
CCM Dkt John Pombe Magufuli aliyekuwa akienda kuchukua Fomu ya kuwania
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika ofisi za Tume ya Taifa
ya Uchaguzi (NEC),jijini Dar leo
Shamra shamra na vigele vigele vya
wafuasi wa chama cha Mapinduzi CCM vikiwa vimetawala nje ya Ofisi ndogo
ya Makao Makuu ya CCM mtaa wa Lumbumba wakishangwekwa wakati Mgombea
Mteule wa Urais kupitia chama cha CCM Dkt John Pombe Magufuli aliyekuwa
akienda kuchukua Fomu ya kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania katika ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),jijini Dar leo
Gari ya Mgombea Urais wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) Dkt Jonh Pombe Magufuli pamoja na Mgombea mwenza Mama
Samia Suluhu Hassan ikiwa tayari kwa ajili ya kuwapeleka kuchukua fomu
za kuwania Urais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kupitia chama cha
CCM,katika ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dar leo.
Shamra shamra na vigele vigele vya
wafuasi wa chama cha Mapinduzi CCM vikiwa vimetawala nje ya Ofisi ndogo
ya Makao Makuu ya CCM mtaa wa Lumumba wakishangwekwa wakati Mgombea
Mteule wa Urais kupitia chama cha CCM Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa
akitoka ndani ya ofisi za chama hicho akiwa ameambatana na Katibu Mkuu
wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana ichani kulia na viongozi wengine
mbalimbali wa juu wa chama hicho kulekea ofisi za Tume ya Taifa ya
Uchaguzi kuchukua fomu ya kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania kupitia chama hicho.
Mgombea Mteule wa Urais wa chama cha
Mapinduzi,Dkt Jonh Pombe Magufuli akiwa kwenye gari la wazi akiwapungia
mkono wananchi na wafuasi wa chama hicho nje ya Ofisi ndogo ya Makao
Makuu ya CCM mtaa wa Lumumba wakishangilia wakati Mgombea alipokuwa
ikielekea ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuchukua fomu ya kuwania
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho.
Dkt Magufuli akiwapungia baadhi ya
Wanachi hawapo pichani alipokuwa akiwasili ofisi za Tume ya Taifa ya
Uchaguzi akiwa ameambatana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman
Kinana
Baadhi ya Wanahabari wakiwa kazini
Dkt John Magufuli akiwasalimia
wananchi mara baada ya kuchukua fomu ya kuwania urais kupitia chama cha
CCM,katka Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dar leo.
Ilikuwa ni shangwe pia nje ya ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Wananchi wakirekodi msafara wa Dkt Magufuli
Baadhi ya Wananchi wakichukua matukio kwa simu.

Note: Only a member of this blog may post a comment.