Thursday, July 30, 2015

Anonymous

YANGA SC KWISHNEI!


Kiungo wa Yanga, Mbuyu Twite (kushoto) akiwania mpira na Shomari Kapombe wa Azam muda mfupi uliopita kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.  
AZAM FC  imetinga nusu fainali ya Kombe la Kagame jioni hii kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam baada ya kuifunga Yanga kwa penalti 5-3. Aliyekosa penalti kwa upande wa Yanga ni beki wa kushoto, Haji Mwinyi.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.