Saturday, July 25, 2015

Anonymous

Wakenya Nao Wamedeki na Kusafisha Barabara Ujio wa OBAMA!

 
Nimeona kwenye taarifa zao za Habari Barabara zinadekiwa, vibanda vinaondolewa omba omba wa mitaani nao marufuku kuonekani Mjini.Nilidhani ni Sisi.Ila jamaa zetu wanamuabudu sana Obama, rejea wanavyomzungumzia Ujio wake.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.