Muimbaji wa kundi la Longombas la nchini Kenya, Christian Longomba
amefanyiwa upasuaji kuondoa uvimbe aliokuwa nao kichwani. Muimbaji huyo
amefanyiwa upasuaji wa pili.
Christian wakati akisubiri kufanyiwa upasuaji
Baada ya upasuaji
Hii ni taarifa iliyotolewa na msanii, Daddy V.
Christian’s journey still continues, after the second surgery,
the doctors noted that they were able to safely remove 90% of the tumor
and he still needs to go through six weeks or more of radiation in order
to completely remove the tumor. Now Christian can’t perform or work
even if he wanted to. Being away from home and not being able to work,
this tragic journey has left Christian with a huge medical bill. Please,
let’s support Christian and his family in this moment of his recovery.
Please continue praying for Christian and send your financial support
to clear his medical bills.
May 18, 2015, Christian alipatwa na kifafa na kupelewa hospitali na
baada ya vipimo alibainika kuwa na tatizo kubwa kichwani – Falx and
parasagittal meningiomas.
Michango inachangishwa ili kusaidia gharama za matibabu yake. Kama unataka kuchangia, bofya hapa.
Note: Only a member of this blog may post a comment.